Zuchu: hakuna msanii ambaye anaweza kupata idea mwenyewe

Zuchu: hakuna msanii ambaye anaweza kupata idea mwenyewe

Wakati habari za ku-copy zikiendelea kwa wanamuziki wa kizazi kipya, mwanamuziki wa #Bongofleva #Zuchu ambaye kwa sasa yuko kwenye trend na hit song yake ya ‘honey’, amesema kwenye muziki hakuna kitu ku-copy kwa kuwa hakuna msanii ambaye anaweza kupata idea mwenyewe.

Kwenye Interview aliofanya Zuchu na moja ya chombo cha habari usiku wa jana kwenye party ya S2kizzy amesema,

“Music is an inspiration hakuna msanii ambaye anaweza kupata idea mwenyewe, kila mtu anakuwa inspired na mtu ndio anapata muziki kwa hiyo it’s all inspiration, hakuna kitu kama ku-copy ni kuzaa kitu kipya kwenye kila idea inazaa kitu kipya pia mashabiki wangu wasubiri vitu vipya tu”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags