Wiki moja baada ya kifo cha Baba yake muigizaji Angus naye fariki

Wiki moja baada ya kifo cha Baba yake muigizaji Angus naye fariki

Muigizaji Angus Cloud kutoka nchini Marekani ambaye alifiwa na baba yake wiki moja iliyopita naye  amefariki dunia.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa mama yake zinadai kuwa Angus alizidiwa na matumizi ya madawa ya kulevya ambayo alikuwa akitumia kutokana na msongo wa mawazo tangu ampoteze baba yake.

Kati ya movie alizocheza Angus ni pamoja na North Hollywood, The Things They Carried, Your Lucky Day, The Line, Godspeed, tamthilia ya #Euphoria akiwa anatumia jina la Fezco na nyingine nyingi. Angus alizaliwa mwaka 1998.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags