Mwakinyo atupa jiwe gizani

Mwakinyo atupa jiwe gizani

Bondia Hassani Mwakinyo ametupa jiwe gizani kwa kusema kuwa kuna mambo madogo lakini yakitokea yanaweza kukupa furaha mwaka mzima huku akimalizia na  msemo usemao nyuki wakivuma sana huwa hawana asali.

Kutokana na kauli zake hizo tata alizoandika kwenye ukurasa wake wa #Instagram wengi walio-comment wamezihusisha na kipigo alichokipata bondia Twaha Kiduku kutoka kwa raia wa Afrika Kusini ,Asemahle Wellem, katika mpambano wao uliofanyika siku ya jumapili jijini Mwanza.

Unahisi  maneno hayo ya Mwakinyo yanamlenga nani?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags