Diamond: sipendagi kutoa nyimbo

Diamond: sipendagi kutoa nyimbo

Star wa muziki nchini Diamond ame-share baadhi ya picha zikionesha wimbo ambao ameshirikishwa na Jux #Enjoy inavyofanya vizuri kupitia platform mbalimbali huku akiandika ujumbe usomekao,

 “Ndio maana sipendagi kutoa nyimbo, naonaga bora nibaki zangu busy kwenye Media au nijifungie zangu ndani na Chuchu”

Diamond ameandika hayo baada ya wimbo huo kufikisha watazamaji milioni 5 katika mtandao wa YouTube.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags