Video ya wimbo wa Enjoy imefutika

Video ya wimbo wa Enjoy imefutika

Star wa muziki nchini Diamondi kupitia #Instastory yake ame-share ujumbe akieleza kuwa wimbo alioshirikishwa na Jux #Enjoy, material ya video ya wimbo huo yamefutwa.

Ujumbe wake umeeleza kuwa

“Jana usiku nilipokea habari za mshtusho na masikitiko toka kwa Jux kuwa Material ya video yetu ya Enjoy yamefutika,, Dah! Kiukweli nilishtuka na kuingiwa na simanzi, kisha ghafla nikaanza kutabasamu”

Jux akaniuliza kwanini unatabasamu nikamwambia kwa sababu mipango ya mungu ni mikubwa kuliko ya sisi binadamu kuna siku njema ambayo mwenyezi Mungu ametupangia video hii kuitoa , Alhamis niko mjini tena nakuja na minguo mipya, Ijumaa tunashoot, jumamosi inaeditiwa, jumapili kabla ya kwenda kwa Zombie asubuhi chupa liko mjini.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags