Hii ya zuchu tuiitaje

Hii ya zuchu tuiitaje

Ikiwa ni masaa 20 yamepita tangu msanii kutoka WCB, Zuchu ku-post kionjo cha wimbo wake mpya ambao anatarajia kuuachia hivi karibuni.

Baadhi ya wadau wa muziki wameanza kufukua ‘makaburi’ ya wimbo unaofanana na huo wa Zuchu huku wakidai kuwa wimbo huo ame-copy kutoka kwa mwanamuziki Sara Alzakaria kwenye ngoma yake ya ‘Tigi netjawz bilser’

Wengi wakifananisha kipande ambacho #Zuchu ameimba neno ‘Honey’ wakati kwa mwanadada Sara kipande chake ametumia neno ‘Baby’

Ukitaka kuiona video hiyo ingia katika instagram ya @Mwananchiscoop

Nini mtazamo wako kwenye wimbo huu?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags