Akaunti za aliyedai kuwa na ujauzito wa Davido zafungiwa

Akaunti za aliyedai kuwa na ujauzito wa Davido zafungiwa

Ikiwa zimepita siku chache tangu mwanadada aliyedai kuwa na ujauzito wa nyota wa muziki Nigeria Davido, ku-share video kwenye ukurasa wake wa #Instagram na kudai ataenda kwenye nyumba ya nyota huyo wa muziki ili aongee naye uso kwa uso.

Hatimaye ‘akaunti’ za mrembo huyo kwenye ukurasa wa #Instagram na #Twitter zimefungiwa. Nikukumbushe Anita alijitokeza na kudai kuwa amebeba ujauzito wa #Davido huku aki-share baadhi ya picha za mazungumzo aliyowahi kufaya na nyota huyo pamoja na kipimo cha ujauzito






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags