Diva: Natamani kuwa mama

Diva: Natamani kuwa mama

Mtangazaji maarufu nchini #Divatheebawse ameendelea kuonesha hisia zake za kutamani kupata watoto

Kupitia ukurasa wake wa #Instagram #Diva ameonesha hisia zake hizo kwa kuandika ameandika,

 “Natamani kuwa mama na kuwa na mtoto.  Natamani watoto wa 5 wawili wa kiume wawili wa kike, na wa kiume tena big brother.

 Mwenyezi akinijaalia Inshallah nitawapa mapenzi yote mama anaetakiwa kumpa Mtoto wake,

Mapenzi ambayo mimi sijawahi yapata maana i have alot of love to give but zaidi mtoto wangu wa kike nitamtengenezea misingi ya kuishi kwa kujitegemea , nitapenda awe na elimu na zaidi awe na utu upendo huruma na awe anasaidia wasiojiweza my first born akiwa mwanamke nitataka aje kuwa mama kwa wenzie and more of a sister mostly awe na macho yangu”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags