Kajala: Paula anapenda sana pesa

Kajala: Paula anapenda sana pesa

Mama mzazi wa Paula, Kajala kupitia kipindi chao cha reality show amefunguka kwa kueleza kuwa binti yake anapenda pesa kuliko kitu chochote.

Kupitia video hiyo Kajala amesema kuwa

“Paula hakuna kitu anachokipenda kama hela, yani fanya chochocte mwambie kuna hela hapo, sometime anaweza akawa unamuona kabisa ana hela milioni 8, milioni 10, lakini anakuomba elfu tano”

.

.

Credit #BehindTheGram

#MwananchiScoop






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags