Bahati: Nyimbo za Diamond zanafanya vizuri Kenya

Bahati: Nyimbo za Diamond zanafanya vizuri Kenya

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya #Bahatikenya amewajibu watu waliomjia juu kuhusu ujumbe wake aliyoandika hivi karibuni akizungumzia muziki wa Tanzania kupigwa na kupata mshabiki wengi nchini humo, huku akisema kuwa bado ngoma za ‘staa’ #Diamondplatnumz zinazidi kufanya vizuri.

Bahati ameandika kupitia ukurasa wake wa #Instagram,

 “Alaaah! niliongea tuu ukweli kidogo kumbe watu wameingiza feelings for now sitajibu  mtu, also in my career i have never disrespected djs and the media but i'm happy you're all talking that means the message is home.

but above all bado naona best trending songs in kenya are from my brother #Diamondplatnumz na ameniambia video mpya ya enjoy inatoka this week akianani tufanye nini juu ashasema ametupangia hadi january 2024?”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags