Viatu vya apple kuuzwa kwa zaidi ya sh milioni 120

Viatu vya apple kuuzwa kwa zaidi ya sh milioni 120

Kampuni maarufu duniani ya teknolojia 'Apple', rasmi imetoa Sneakers (viatu) ambavyo vinauzwa kwa dola elfu 50$ ambayo ni zaidi ya Milioni 120 za kitanzania.

Viatu hivyo vinauzwa katika kampuni ya mnada ya Sotheby's. pekee  havijawahi kuuzwa kwenye maduka ya umma.

Kwa mujibu wa BBC unaeleza kuwa, viatu hivyo vilitengenezwa kwa ajili ya wafanyakazi wa Apple miaka ya 1990, ambapo bidhaa zao haswa mavazi ambayo yalitolewa kama zawadi kwao, zimekuwa zikiwavutia mashabiki wakubwa wa chapa hiyo kila mara.

Muuzaji wa viatu hivyo alivitaja kama moja wapo ya viatu zisivyojulikana zaidi ya vilivyopo na akiangalia uhaba wake na thamani yake kwenye soko la mauzo.

Viatu million 120 famasihara nini






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags