Mkuu wa utumishi wa umma kutoka nchini Kenya Felix Koskei ametoa uamuzi wa kuwasimamisha maafisa 27 kwa kuingiza sokoni sukari ilio haribika dhidi ya mdhibiti mkuu wa viwango....
Shirika la utabiri wa hali ya hewa la Umoja wa Mataifa,WMO limesema joto litaongezeka kwa kiwango kikubwa kutokana na mchanganyiko wa athari za joto la baharini na hewa zinazo...
Nyie nyie, ama kweli ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni, basi bwana bibi mmoja kutoka nchini Marekani alifahamika kwa jina la Dorothy Fidel akiwa na miaka 77, ameamua ku...
Nabii mmoja kutoka nchini Kenya, aliefahamika kwa jina la Joseph Otieno Chenge kutoka katika kanisa la Jerusalem Mowari lililopo Ruri, amekamatwa pamoja na washirika wak...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameipongeza Yanga kwa kutinga fainali ya CAFCC na kutangaza rasmi kuongeza dau la motisha ambapo sasa kila goli itakuwa ni shilingi m...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa leo Mei 18, 2023 majira ya asubuhi imetokea ajali katika makutano ya reli na barabara eneo la Kamata iliyohusisha Gari la a...
Chama cha madaktari kutoka nchini nigeria (nard) imeanza mgomo unaohusisha madaktari wa hospitali za serikali kutokana na mamlaka kutotimiza mahitaji yao ikiwemo maboresho ya ...
Watu wenye silaha kali nchini Nigeria wameshambulia msafara wa magari ya Marekani siku ya jana jumanne katika jimbo la kusini mashariki mwa nchi hiyo eneo la Anambra.
Po...
Serikali ya Canada imekanusha ripoti kuwa Wakenya sasa wanaweza kusafiri hadi nchini humo kutafuta nafasi za kazi.
Haya yanajiri kufuatia tangazo la Waziri wa Mambo ya Nje wa ...
Shirika la Kimataifa la Kutetea haki za binaadamu la Amnesty International limesema katika ripoti yake kuwa idadi ya watu waliouawa kwa kunyongwa ulimwenguni kote mwaka uliopi...
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Queen Sendiga katika uzinduzi wa zahanati katika kijiji cha Mpona mkoani humo amesema kuwa wenza (wapenzi) wote wenye watoto hawatakiwi kuachana ba...
Polisi kutoka nchini Australia wanachunguza kisa kimoja baada ya wanawake wasiopungua 65 kupokea kondomu zilizotumika kwenye bahasha.
Barua hizo, ambazo pia zilikuwa na jumbe ...
Mwili wa Marehemu Bernard Membe tayari umezikwa katika eneo la makaburi ya familia Rondo katika kijiji cha Chiponda mkoani Lindi leo Mei 17, 2023. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...
Ikiwa ni siku moja tuu imebaki ili timu hiyo iweze kuingia ndimbani kwa ajili ya mchezo wao na mabingwa mara 29 yanga Afrika, wachezaji wa Marumo Gallants ya Afrika Kusini wam...