Muhubiri aliedai kuagizwa na Mungu akamatwa

Muhubiri aliedai kuagizwa na Mungu akamatwa

Nabii mmoja kutoka nchini Kenya, aliefahamika kwa jina la Joseph Otieno Chenge kutoka katika kanisa la Jerusalem Mowari  lililopo Ruri, amekamatwa pamoja na washirika wake kwa madai ya kuwa aliambiwa na Mungu akutane na Rais William Ruto ndani ya masaa 21.

Aidha miongoni mwa waliokamatwa pamoja na mhubiri huyo ni ikiwemo wachungaji sita na wagonjwa watano waliopatikana katika kanisa lake.

Washukiwa hao 12 kwa sasa wanazuiliwa katika Kituo cha Polisi cha Mbita nchini humo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags