Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametanga kuwa serikali inaongeza mishahara ya wafanyakazi wake kwa asilimia 45, na hii ni siku tano kabla ya uchaguzi mkuu.
Kura za maoni ...
Mtu mmoja aliefahamika kwa jina la Mussa Pwele mkazi wa mkoa wa Mbeya mwenye umri wa miaka 47 anadaiwa kummbaka mtoto wake wa mzaa.
Imeelezwa kuwa alifanya tukio hilo kwa kump...
Jopo la majaji katika kesi ya madai likuta Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump na hatia ya kumnyanyasa kingono mwandishi wa jarida katika duka moja kuu la New York miaka y...
Mahakama kuu nchini Malawi imeamuru mamlaka ya elimu kuwapokea wanafunzi waliosokota rasta katika shule za umma kote nchini.
Mahakama hiyo, iliyoko mashariki mwa jiji la Zomba...
Binti mmoja aliefahamika kwa jina la Fatima Aliyu mwenye umri wa miaka 20 kutoka Kaskazini mwa Nigeria amemshtaki baba yake kwa kumlazimisha kuolewa na mtu asiyemfahamu, ripot...
Rais wa Marekani, Joe Biden, ameagiza wizara ya uchukuzi kuandika kanuni mpya zitakazo yalazimu mashirika yote ya ndege kugharamia chakula na malazi ikiwa kwa uchelewaji au ug...
Kufatiwa na uamuzi uliotolewa na Mahakama ya hakimu mkazi Njombe dhidi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini kulipa fidia ya shingi milioni70 b...
Mahakama kutoka nchini Iran ilitangaza hukumu ya kunyongwa dhidi ya wanaume wawili siku ya Jumatatu ambao walihukumiwa kifo kwa kuukashifu uislamu, watuhumiwa hao walita...
Rapa kutoka nchini Marekani Lowell Grissom maarufu kama Young Lo amepigwa risasi na kuuawa nje ya Club huko Miami.
Kulingana na CBS news, rapa huyo alipigwa risasi alipo...
Mwanzilishi wa Facebook na ofisa mtendaji mkuu wa Meta, Mark Zuckerberg amewashangaza mashabiki na wapenzi wa mchezo wa karate baada ya kushinda medali za dhahabu na fedha kat...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezifungia Bar za wazi zaidi ya 80 ikiwemo Elements, Wavuvi Camp, Boardroom, Kitambaa Cheupe, Liquid, Warehouse n...
Polisi kutoka nchini Iraq amekutwa na hatia na kuhukumiwa kifungo cha maisha kutokana na kifo cha mchambuzi mashuhuri wa masuala ya usalama na mkosoaji wa mara kwa mara wa wan...
Saudi Arabia inasema inatarajia mazungumzo yaliyoanza mjini Jeddah siku ya Jumamosi kati ya makundi ya kijeshi ya Sudan yanayozozana yatafikia usitishaji wa kudumu wa mapigano...