Kanisa la KKKT lahukumiwa kulipa fidia

Kanisa la KKKT lahukumiwa kulipa fidia

Kufatiwa na uamuzi uliotolewa na Mahakama ya hakimu mkazi Njombe dhidi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini kulipa fidia ya shingi milioni70 baada ya Gari ambalo ni mali ya Kanisa hilo kumgonga na kusababisha kifo cha Kaselida Mlowe. 

Aidha hakimu amesema kanisa linawajibika kulipa fidia hiyo kutokana na uzembe uliofanywa na Rajab Kitwana ambaye alikuwa dereva wa gari hilo wakati wa ajali.

Sambamba na shauri lilifunguliwa baada ya Msimamizi wa Mirathi kushinda Kesi No 6.2021 ya Makosa ya Usalama Barabarani kutokana na ajali iliyotokea eneo la Kibena Septemba 25, 2020.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags