20
Changamoto zinazowakumba madereva wa maroli barabarani
Waswahili wanasema kazi ni kazi ilimradi mkono uende kinywani, lakini ndani ya kazi hizo ambazo watu wanazifanya yapo mengi wanayokumbana nayo yanayowafikirisha kiasi cha kuac...
27
Polisi: Mwenye taarifa sahihi kifo cha Zuchy azilete
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limewataka watu wenye taarifa tofauti juu ya ajali ya bodaboda iliyotokea alfajiri ya jana Ijumaa Aprili 26, 2024, eneo la Makonde, mkoani Dar ...
11
Dereva taxi awanyoa abiria kwa kushindwa kulipa nauli
#Derevataxi mmoja kutoka nchini Afrika Kusini ambaye hajafahamika jina lake amewanyoa nywele wanawake wawili ambao ni abiria wake baada ya kushindwa kumlipa nauli.Tukio hilo a...
02
Dereva achoma School Bus ikiwa na watoto 66
Dereva wa bus la shule ya Utah kutoka nchini Marekani anayefahamika kwa jina la Michael Austin Ford mwenye umri wa miaka 58 amekamatwa na polisi kwa tuhumima za kuchoma bus la...
10
Dereva auawa kwa kupigwa risasi ubalozini
Dereva auawa kwa kupigwa risasi baada ya kuingia na gari lake ndani ya ofisi za Ubalozi Mdogo wa China ,San Francisco siku ya jana Jumatatu. Wafanyikazi na wageni waliokuwepo ...
12
Daladala alilopanda Odinga lapata umaarufu
Waswahili wanasema mgeni njoo mwenyeji apone, msemo huu umesaidiki, kupitia kijana David Murage ambae amejipatia umaarufu kwa siku tu baada ya kumsafirisha kiongozi wa Muungan...
12
Madereva Kenya waingia Tanzania kununua mafuta
Wamiliki wa magari pamoja na waendesha boda boda katika mji wa mpakani wa Namanga wanaendelea kuingia nchini Tanzania ili kununua mafuta ya bei rahisi kulingana na gazeti la N...
09
Kanisa la KKKT lahukumiwa kulipa fidia
Kufatiwa na uamuzi uliotolewa na Mahakama ya hakimu mkazi Njombe dhidi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini kulipa fidia ya shingi milioni70 b...
01
Vyuo 161 vyafungiwa
Kufatia ukaguzi ambao ulifanywa kwa agizo la IGP Camilius Wambura kama sehemu ya kudhibiti wimbi la ajali nchini Jeshi la Polisi Tanzania limebaini vyuo 161 vimefanya udangany...
27
Ujerumani madereva watia mgomo
Mamilioni ya wasafiri leo Machi 27, 2023 wanalazimika kutafuta njia mbadala ya usafiri kutokana na mgomo katika Sekta ya Uchukuzi inayotarajiwa kudumu kwa saa 24. Mgomo huo u...

Latest Post