Dereva auawa kwa kupigwa risasi ubalozini

Dereva auawa kwa kupigwa risasi ubalozini

Dereva auawa kwa kupigwa risasi baada ya kuingia na gari lake ndani ya ofisi za Ubalozi Mdogo wa China ,San Francisco siku ya jana Jumatatu.

Wafanyikazi na wageni waliokuwepo katika ubalozi huo walikimbia baada ya mtu huyo asiye julikana kuingia na gari lake hadi ndani na kupelekea kushambuliwa na polisi kwa risasi katika ubalozi huo.

Kwa mujibu wa Daily Mail News inaelezwa kuwa alipigwa risasi na polisi, muda mfupi baadaye kutangazwa kuwa amefariki baada ya kupelekwa hospitalini huku polisi wakiendelea na uchunguzi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags