Ujerumani madereva watia mgomo

Ujerumani madereva watia mgomo

Mamilioni ya wasafiri leo Machi 27, 2023 wanalazimika kutafuta njia mbadala ya usafiri kutokana na mgomo katika Sekta ya Uchukuzi inayotarajiwa kudumu kwa saa 24.

Mgomo huo uliowekwa katika mashirika mbalimbali ya usafiri kama vile viwanja vya ndege, vituo vya mabasi, treni na njia za majini kote vinatajwa kuwa vitupu kufuatia mgomo huo unaotajwa kuwa mkubwa zaidi tangu Miaka ya 1990.

Aidha katika mgomo huo wafanyakazi Milioni 2.5 wa shirikisho na manispaa, chama cha wafanyakazi verdi na chama cha wafanyakazi wa umma wanadai nyongeza ya asilimia 10.5 ya mshahara.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags