14
Lady Gaga awaanika waliosema hatokuwa maarufu
Mwanamuziki na mwigizaji kutoka Marekani, Lady Gaga amelianika hadharani kundi la zamani la Facebook la chuo kikuu cha New York na kudai kuwa kundi hilo lilimwambia hatokuja k...
24
Ujerumani yahalalisha uvutaji wa bangi
Siku ya jana, Ijumaa Februari 23, Bunge la Ujerumani liliidhinisha sheria ya kuhalalisha uvutaji wa bangi, ambapo imeruhusu kumiliki kilo 25 katika maeneo ya Umma na kilo 50 n...
09
Mkongwe wa soka afariki dunia
Mkongwe wa soka nchini Ujerumani Franz Beckenbauer mwenye umri wa miaka 78 anayetambulika kama moja ya wachezaji bora kuwahi kutokea nchini humo, amefariki dunia. Franz aliwah...
13
Manara: Napenda mpira kuliko ninavyopenda kuoa wadada warembo
Aliyekuwa msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga, Haji Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza hisia zake kuhusiana baada ya kukosa kutazama ‘mechi’ liv...
27
Ujerumani madereva watia mgomo
Mamilioni ya wasafiri leo Machi 27, 2023 wanalazimika kutafuta njia mbadala ya usafiri kutokana na mgomo katika Sekta ya Uchukuzi inayotarajiwa kudumu kwa saa 24. Mgomo huo u...

Latest Post