Manara: Napenda mpira kuliko ninavyopenda kuoa wadada warembo

Manara: Napenda mpira kuliko ninavyopenda kuoa wadada warembo

Aliyekuwa msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga, Haji Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza hisia zake kuhusiana baada ya kukosa kutazama ‘mechi’ live uwanjani tangu  afungiwe kwa miaka miwili.

Kufuatia video yake akiwa anatazama mechi ya Germany VS France aliyoambatanisha na ujumbe akieleza kuwa amekumbuka sana moment hizo za kuangalia ‘mechi’ live kuliko anavyo-miss kitu chochote.

Huku akieleza ni jinsi gani anapenda mchezo huo na kudai football imemtawala kimahaba, imemfanya amekuwa mtumwa, anapenda football kuliko anavyopenda kuoa wadada warembo wa kibongo, na yupo tayari ku-spend pesa nyingi kwenda kuangalia ‘mechi’ pengine kuzidi kwenda Beverly Hills ku-shopping.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags