Dereva taxi awanyoa abiria kwa kushindwa kulipa nauli

Dereva taxi awanyoa abiria kwa kushindwa kulipa nauli

#Derevataxi mmoja kutoka nchini Afrika Kusini ambaye hajafahamika jina lake amewanyoa nywele wanawake wawili ambao ni abiria wake baada ya kushindwa kumlipa nauli.

Tukio hilo ambalo limewashangaza wengi kupitia mitandao ya kijamii nchini humo ambapo dereva huyo alichukua jukumu la kuwanyoa nywele mabinti wawili kwa kutumia mkasi baada ya kushindwa kumlipa pesa yake ya usafiri waliyo kubaliana.

Huku dereva huyo akidai kuwa lengo la kufanya hivyo ni kutaka abiria wabadirike kutokana na mazoea waliojizoesha ya kuwatapeli madereva taxi.

Ulishawahi kumtapeli nini dereva wako?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags