Rapa Young Lo auwawa kwa kupigwa risasi

Rapa Young Lo auwawa kwa kupigwa risasi

Rapa kutoka nchini Marekani Lowell Grissom maarufu kama Young Lo amepigwa  risasi na kuuawa nje ya Club huko Miami.

Kulingana na CBS news, rapa huyo alipigwa risasi alipokuwa akielekea kwenye Club ya Miami's na mtu asie julikana majira ya saa 4 asubuhi kwa saa za Afrika mashariki siku ya Jumapili.

Rapa huyo alikimbizwa katika hospitali ya Jackson Memorial ambako alifariki. pamoja na hayo amekuwa mtu maarufu na kiunganishi katika tasnia nzima ya muziki ambapo alishirikiana na watu kama Chris Brown na aliwahi kuwa A&R kwenye lebo ya makasound ya Hitmaka.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags