Ashikiliwa kwa tuhuma za kumbaka mwanaye

Ashikiliwa kwa tuhuma za kumbaka mwanaye

Mtu mmoja aliefahamika kwa jina la Mussa Pwele mkazi wa mkoa wa Mbeya mwenye umri wa miaka 47 anadaiwa kummbaka mtoto wake wa mzaa.

Imeelezwa kuwa alifanya tukio hilo kwa kumpa vitisho kuwa hatampatia huduma ikiwemo mahitaji ya shule na huduma nyinginezo kama atakaidi kutii atakayo mwambia ikiwemo kufanya nae tendo la ndoa.

Kufuatiwa na upelelezi wa shauri hilo kaimu kamanda wa polisi mkoani Mbeya, ACP Christina Musyani, anasema shauri hilo linaendelea.

Mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamani japo kwa uchunguzi wa awali umebaini mtoto huyo ni mjamzito.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags