Rias Samia: Kila goli million 20

Rias Samia: Kila goli million 20

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameipongeza Yanga kwa kutinga fainali ya CAFCC na kutangaza rasmi kuongeza dau la motisha ambapo sasa kila goli itakuwa ni shilingi milioni 20.

Rais Samia ametangaza dau hilo muda huu katika hafla ya uzinduzi wa minara ya DTT inayofanyika ndani ya viwanja vya Azam Media na kuongeza kuwa serikali itatoa ndege kwa ajili ya mashabiki watakaokwenda nchini Algeria kwa ajili ya mchezo huo wa fainali.

Alooooooh! Mama anaupiga mwingi kweli kweli, haya wananchi kazi kwenu ndege ya bure hiyooo, tunasemaje tukutane Argeria. Mwanangu sana dondosha komenti yako hapo chini na utueleze nini kingine kiongeze?.

 


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post