Watu wanne wauwawa, Nigeria

Watu wanne wauwawa, Nigeria

Watu wenye silaha kali nchini Nigeria wameshambulia msafara wa  magari ya Marekani siku ya jana jumanne katika jimbo la kusini mashariki mwa nchi hiyo eneo la Anambra.

Polisi na afisa wa Marekani wamesema washambuliaji hao waliwaua watu wanne na kuwateka nyara wengine watatu.

Aidha msemaji wa polisi anasema “waliwaua maafisa wawili wa jeshi la polisi na wafanyakazi wawili wa ubalozi mdogo wa Marekani kabla ya kuchoma moto gari lao” alisema msemaji wa polisi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags