17
Hichi ndio kimefanya Diddy akamatwe na polisi
Ikiwa yamepita masaa machache tangu kukamatwa kwa ‘rapa’ Diddy tayari waendesha mashitaka wamefichua kilichomfanya mwanamuziki huyo kutiwa nguvuni kwa kueleza kuwa...
17
Diddy akalia kuti kavu, polisi wamdaka
Mkali wa Hip Hop kutoka Marekani Diddy ameripotiwa kukamatwa na polisi New York kufuatia tuhuma za kujihusisha na unyanyasaji wa ngono na biashara za madawa ya kulevya.Kwa muj...
30
Shabiki azua kizaa zaa, Ujerumani ikienda robo finali
Baada ya mchezo wa hatua ya 16 bora wa michuano ya Euro kati ya wenyeji timu Ujerumani dhidi ya Denmark kumalizika, polisi waliokuwa wanalinda uwanja walimshusha shabiki mmoja...
26
Simi aungana na Wakenya, Aumizwa na waliopoteza maisha
Mwanamuziki maarufu nchini Nigeria, #Simi, ametoa sauti yake katika maandamano ya kupinga ongezeko la kodi yanayoendelea nchini Kenya ambapo amedai kuwa inahuzunisha watu kupo...
21
Polisi wakanusha kumshikilia Eric Omondi
Baada ya kusambaa kwa video mitandaoni ikimuonesha mchekeshaji wa Kenya, Eric Omondi akiwa amedakwa na polisi, mpenzi wa mchekeshaji huyo, Lynne Njihia amedai kuwa polisi wame...
21
Eric Omondi akamatwa tena na polisi
Mchekeshaji Eric Omondi amekamatwa tena na polisi nchini Kenya, wakati alipokuwa kwenye maandamano yanayoendelea nchini humo ya kupinga ongezeko la kodi katika Muswada wa Fedh...
18
Justin Timberlake akamatwa na polisi
Mwigizaji na mwanamuziki wa Marekani Justin Timberlake ameripotiwa kukamatwa na polisi baada ya kukutwa anaendesha gari akiwa amelewa. Kwa mujibu wa ABC News, ilieleza kuwa af...
04
Eric Omondi adakwa na polisi Kenya
Mchekeshaji Eric Omondi anashikiliwa na maafisa wa usalama nchini Kenya, kwa kuongoza maandamano nje ya Jengo la Bunge.Omondi alikamatwa baada ya kuongoza Mama wauza mboga kat...
15
Mtoto wa Diddy amvaa 50 Cent
Baada ya siku ya juzi mawakili wa mkali wa Hip-hop kutoka Marekani Diddy kuomba mahakama kufuta baadhi ya kesi kutokana na kesi hizo kuwa za uongo, kijana wa Combs, King Combs...
11
Hili ndio gari la polisi Miami
Idara ya Polisi ya ‘Miami Beach’ nchini Marekani imetangaza kuwa kwasasa polisi watatumia magari ya Rolls-Royce katika doria za sehemu ya ufukwe (beach) pamoja na ...
07
Ashitakiwa kwa kumuua mkewe kisa bili ya hospitali
Mwanaume mmoja kutoka nchini Marekani aliyefahamika kwa jina la Ronnie Wiggs ameshitakiwa kwa kosa la kumuua mkewe akiwa Hospitali baada ya kushindwa kulipa ‘bili’...
27
Polisi: Mwenye taarifa sahihi kifo cha Zuchy azilete
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limewataka watu wenye taarifa tofauti juu ya ajali ya bodaboda iliyotokea alfajiri ya jana Ijumaa Aprili 26, 2024, eneo la Makonde, mkoani Dar ...
18
Kanye kuchunguzwa na Polisi
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Kanye West ameripotiwa kuchunguzwa na polisi wa LAPD kufuatia tukio lililotokea usiku wa Jumanne baada ya mwanaume mmoja kudaiwa kums...
27
Muonekano wa ndani nyumbani kwa P Diddy baada ya Uchunguzi wa Polisi
Video fupi iliyotolewa na mtandao wa TMZ ikionesha hali ilivyo ndani ya nyumba ya P Diddy iliyopo Miami baada ya kufanyiwa uchungu...

Latest Post