31
Rick Ross atakiwa kulipia ada ya mtoto zaidi ya sh 500 milioni
Moja ya stori inayoendelea kusambaa kupitia mitandao ya kijamii ni kuhusiana na aliyekuwa mpenzi wa ‘rapa’ Rick Ross aitwaye Tia Kemp kutaka kiasi kikubwa cha pesa...
09
Utafiti: Kula ngozi ya kuku ni hatari
Inaripotiwa kuwa ngozi ya kuku inakiwango kikubwa cha mafuta ambayo ni hatari kwa afya ya binaadamu. Kwa mujibu wa tovuti mbalimbali duniani zinaeleza kuwa ngozi ya kuku ina m...
03
Romy Jons kutoana jasho na Dj sinyorita, Dj ylb tuzo za mvaa
Waandaji wa Tuzo za muziki za MVAA ambao wanajihusisha na utoaji wa tuzo katika vipengele mbalimbali kwa wasanii na vijana wachakarikaji Afrika wamemtaja kaka wa msanii wa Bon...
03
Unalipa asilimia ngapi hili sanamu la Drake
Jumba la makumbusho maarufu la ‘Times Square’ kutoka New Yorka Marekani,  siku mbili zilizopita lilizindua sanamu la ‘rapa’ wa Canada Drake ambalo...
26
Lupita Nyong o aunga mkono maandamano Kenya
Mwigizaji kutoka Marekani mwenye asili ya Kenya Lupita Nyongo amelipongeza kundi la vijana la ‘Gen Z’ na wananchi wote nchini humo kwa kuchukua uamuzi wa kuandaman...
24
Kukuruku asimulia Ruger alivyomwokoa
Mtayarishaji wa muziki kutoka nchini Nigeria, #KukurukuBeats amefunguka na kutoa heshima kwa msanii #Ruger akidai kuwa amemfanya nyota yake ing’ae baada ya msoto wa muda...
19
Champion Sound ya Davido ndio Amapiano inayosikilizwa zaidi
Mtandao wa #Spotify umetangaza wimbo wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Davido  ‘Champion Sound’ aliyomshirikisha  msanii kutoka Afrika Kusini #Focali...
11
Mke wa Tory Lanez adai talaka
Mke wa rapa kutoka Marekani Tory Lanez, Raina Chassagne anadaiwa kudai talaka, ikiwa zimebaki siku chache kutimiza mwaka mmoja katika ndoa yao waliyoifunga mwaka 2023. Kwa muj...
15
Mtoto wa Diddy amvaa 50 Cent
Baada ya siku ya juzi mawakili wa mkali wa Hip-hop kutoka Marekani Diddy kuomba mahakama kufuta baadhi ya kesi kutokana na kesi hizo kuwa za uongo, kijana wa Combs, King Combs...
28
Utafiti: Kuoga hakuna faida yoyote kwa afya
Inadaiwa kuwa tabia ya kuoga kila siku haina faida yoyote kwa afya ya binadamu, bali watu hufanya hivyo, wakihofia kutengwa na jamii, kwa sababu ya kunuka. Kwa mujibu wa tafit...
27
Utafiti: Paka hufurahi zaidi kuishi na binadamu wema
Kwa mujibu wa watafiti katika maabara ya Human-Animal Interaction (HAI) ya Chuo Kikuu cha Oregon State cha nchini Marekani webaini kuwa paka wanafurahia maisha zaidi wakiishi ...
09
Huyu ndiye siri wa kwenye Iphone
Imekuwa kawaida kwa watumiaji wa iPhone kuhitaji baadhi ya usaidizi kutoka kwa Siri, kama vile kumuuliza maswali. Hivyo basi kutana na Susan Bennett, ambaye ndiye mwenye sauti...
26
Msako mkali wafanyika kwenye makazi ya Diddy
Makazi ya nyota wa muziki wa hip-hop, Sean "Diddy" Combs, ya Los Angeles na Miami jana Jumatatu , Machi 25, yamefanyiwa upekuzi na Mawakala wa Usalama wa Taifa kama sehemu ya ...
15
Nini kinaendelea kati ya harmonize, Poshy
Baada ya msanii Harmonize na mpenzi wake Poshy Queen kuonekana wakipata dinner pamoja usiku wa kuamkia leo katika siku ya Wapendanao, wawili hao wamezua sintofahamu kupitia ku...

Latest Post