Utafiti: Paka hufurahi zaidi kuishi na binadamu wema

Utafiti: Paka hufurahi zaidi kuishi na binadamu wema

Kwa mujibu wa watafiti katika maabara ya Human-Animal Interaction (HAI) ya Chuo Kikuu cha Oregon State cha nchini Marekani webaini kuwa paka wanafurahia maisha zaidi wakiishi na binadamu wanaowavumilia na wenye upendo zaidi.

Pia, watafiti wamegundua kuwa paka hupendelea binadamu wanaowasikiliza zaidi na wanaoheshimu uhuru wao.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags