07
John Cena atangaza kustaafu WWE
Mwanamieleka wa Marekani John Cena ametangaza kustaafu kushiriki mashindano ya World Wrestling Entertainment (WWE) usiku wa kuamkia leo. Kwa mujibu wa tovuti ya Forbes Cena am...
04
Cardi B akabiliwa na kesi ya ukiukaji hakimiliki
Mwanamuziki wa Marekani Cardi B ameshitakiwa na wasanii wawili nchini humo kwa madai ya kutumia baadhi ya mistari yao katika wimbo wake wa ‘Enough’ bila kuwapa taa...
30
Usher amtaka mwanawe aingie kwenye muziki
Mwanamuziki wa Marekani, #UsherRaymond amemtaka mwanawe wa kiume aitwaye Naviyd aingie kwenye muziki mapema na kujisimamia mwenyewe akiwa na umri wa miaka 15. Inaelezwa kuwa U...
26
Ngoma ya ‘Not like Us’ ya Lamar inastahili kuwania Grammy
Mkurugenzi Mtendaji wa tuzo maarufu Marekani za Grammy,  Harvey Mason Jr ameweka wazi kuwa wimbo wa ‘Rapa’ Kendri...
25
Ajiziba uso ili aache kuvuta sigara
Kuacha sigara ni mchakato ambao baadhi ya watumiaji wamekuwa wakigonga mwamba kila uchwao, lakini kwa Ibrahim Yücel kutoka Uturuki ilikuwa rahisi baada ya kutengeneza kof...
24
Aliyehusika mauaji ya Pop Smoke aachiwa huru
Kati ya watuhumiwa wanne walioshitakiwa katika mauaji ya ‘rapa’ wa Marekani J. Christopher Smith maarufu #PopSmoke ameripotiwa kuachiwa huru kutoka jela, baada ya ...
19
Mume wa Simi afunguka kuwa na ugonjwa wa ‘Sickle Cell’
Mume wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Simi, #AdekunleGold amefunguka kuwa na ugonjwa wa Sickle Cell ambapo ameweka wazi kuwa umekuwa ukimsumbua kwa muda mrefu. Tovuti ya ...
16
Ashika rekodi ya kuwa na nywele ndefu masikioni
Aliyekuwa mwalimu mkuu katika shule ya Madurai nchini India, Anthony Victor ndiye mtu pekee anayeshikilia rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kuwa nywele ndefu zaidi za masikio du...
10
Jennifer Lopez na Ben wauza nyumba, Wadaiwa kuachana
Mwanamuziki wa Marekani Jennifer Lopez na mumewe Ben Affleck wanadaiwa kuachana baada ya kuuza nyumba yao waliyoijenga pamoja kwa dola 60 milioni. Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ ...
15
Wanandoa waliopishana miaka 37 watarajia kupata mtoto
Wandoa waliyopishana miaka 37 kutoka nchini Marekani Cheryl McGregor (63) na mume wake Quran McCain (26) wamezua gumzo mitandaoni baada ya kudai kuwa wanatarajia kupata mtoto ...
15
Watatu wajeruhiwa wakati lil Baby akirekodi video
Vijana wa kiume watatu wameripotiwa kujeruhiwa kwa kupigwa risasi katika eneo la Dixie Marekani wakati mwanamuziki Lil Baby akiwa ana-shoot video ya ngoma yake mpya. Kwa mujib...
15
Takribani 14 wafariki kwa kuangukiwa na bango la tangazo
Imeripotiwa kuwa takibani watu 14 wamefariki dunia siku ya jana Jumatatu Mei 13, 2024 baada ya kuangukiwa na bango la matangazo kufuatiwa na mvua iliyonyesha jijini Mumbai nch...
08
Thiago kurudisha majeshi Fluminense FC
Mchezaji wa zamani wa ‘klabu’ ya #PSG, #ThiagoSilva ameamua kurudi kwenye ‘ligi’ kuu ya #Brazil baada ya kuthibitisha kuondoka katika klabu ya #Chelsea...
07
Rihanna aikacha Met Gala 2024
Wakati wadau mbalimbali wakisubiri kuona muonekano wa mwanamuziki Rihanna katika usiku wa tamasha la mitindo duniani ‘Met Gala’ lililofanyika katika ukumbi wa &lsq...

Latest Post