Ulimwengu wa fashion umebebwa na vitu vingi sana huku umaridadi na usafi vikiwa ndiyo nguzo yake. Katika jamii zetu ni suala la aibu kukuta mtu kapendeza lakini akawa a...
Na Glorian Sulle
Moja ya kinywaji ambacho hupendelewa haswa na wafanyakazi wengi katika maofisi mbalimbali ‘kahawa’ ndio namba moja, hii ni kutokana na madai kuwa ...
Kutokana na utafiti uliofanywa na Taasisi inayojihusisha na masuala ya fedha Bankrate, iliyopo nchini Marekani imebaini kuwa asilimia 42 ya wanandoa huwaficha wenzi wao mali w...
Wanadiplomasia kutoka nchini Saudi Arabia wamevunja marufuku ya uuzwaji wa pombe nchini humo baada ya kufungua duka la kwanza la vinywaji hivyo, maalumu kwa Wanadiplomasia was...
Nchini Dubai ukipiga picha watu waliojeruhiwa au miili ya watu waliofariki katika ajali ni kosa linaloweza kusababisha kifungo cha miezi sita jela na faini ya tsh 100 milioni,...
Na Magreth BavumaOuyah wanangu eeeh, mambo niaje karibuni tena kwenye kona yetu pendwa ya dunia ya wanavyuo “unicorner” ni chimbo hili tu linalo wakutanisha wanavy...
Rapper mkongwe kutoka nchini Marekani #RickRoss mapema wiki hii alipokuwa akifanya mahojiano na #AppleMusic amedai kuwa miezi sita iliyopita ametumia takribani 251...
Ikiwa tumezoea kuona maonyo mbalimbali kwenye chupa za pombe kama vile kunywa kistarabu, au yale ya kwenye sigara yasemayo uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako, bila kuta...
Muigizaji Angus Cloud kutoka nchini Marekani ambaye alifiwa na baba yake wiki moja iliyopita naye amefariki dunia.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa mama yake zinadai k...
Mtoto wa Kike wa Aliekuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, Bona Ouma Mugabe katika madai ya talaka ametaka kupatiwa hela ya matumizi ya watoto Milioni 6.3 kwa watoto...
Ripoti ya robo mwaka unaoishia Machi 2023 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha kuwa zaidi ya nusu ya watanzania wanatumia huduma ya intaneti huku mtandao wa Fa...
Serikali kutoka nchini Australia mbioni kupiga marufuku matuminzi ya TikTok katika vifaa vya Serikali na itachukua hatua hiyo kwasababu za kiusalama ikiungana na Marekani, Can...