Rick Ross atumia dola 251 bilioni kwa matumizi ya kawaida

Rick Ross atumia dola 251 bilioni kwa matumizi ya kawaida

Rapper mkongwe kutoka nchini Marekani #RickRoss mapema wiki hii alipokuwa akifanya mahojiano na #AppleMusic amedai kuwa  miezi sita iliyopita ametumia takribani  251 bilioni kwenye matumizi yake ya kawaida na kwenye uwekezaji wa kununua Jumba lake la kifahari na Privat Jet.

The Big Boss Roseey amemshangaza msanii mwenzie aliyekuwa naye katika mahojiano hayo #MeekMill baada ya kusika kiasi hicho kikubwa cha fedha ambacho mwamba huyo alitumia katika matumizi yake ya kawaida

Hata hivyo #Rossey mwishoni mwa mwaka jana aliwahi kununua Buffalo mkubwa ambaye alighalimu mabilioni ya pesa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags