Oooyeeeah! I hope umeshahisabiwa mtu wangu wa nguvu, sasa bwana leo kwenye gumzo mitandaoni kutoka kwa yule Janjaro mtu mbad amefunguka na kuweka wazi kuwa anatarajia kufunga ...
Kwa taarifa zilizo tufikia hivi punde ni muigizaji mkongwe wa bongo movie Hamisi Korongo maarufu kama Mzee Korongo amefariki leo katika hospitali ya mwananyamara jijini ...
Hii imetokea huko mkoani Njombe baada ya Jeshi la Polisi Mkoani humo wa linamshikilia Mwanamke mmoja aitwaye Estaroda Kaduma (28) amkazi wa Kichiwa kwa tuhuma za kumuua Mtoto ...
Na Habiba Mohamed
Waswahili walisema mshika mawili Moja humponyoka..Ebwaaana kunako mitandao ya kijamii hivi karibuni zilitembea sana picha na video za harusi za mastaa wawili...
kwa taarifa zilizo tufikia hivi punde ni kwamba aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema anatarajiwa kuzikwa Alhamisi Agosti 25 katika kijiji cha Kilalacha mkoan...
Habiba Mohamed
Nyie nyie nyie ama kweli mtoto wa nyoka ni nyoka bwana weee kumekuwa na gumzo mitandaoni baada ya mtoto wa Shetta mwanae huyo anaefahamika kwa jina la Qayllah a...
Msanii wa miundo ya RnB, Joslin amemtaka msanii wa kizazi kipya Barnaba kumtafuta ili kuongelea suala la msanii huyo tuimba nyimbo yake ya "Niite Basi" kwenye majukwaa mbalimb...
Kutokea huko nchini Kenya ambapo Aliyekuwa Mgombea wa Urais kupitia Azimio la Umoja One, Raila Odinga leo, Agosti 22, 2022 anatarajia kuwasilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais...
Augustine Lyatonga Mrema mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania ambaye wakati fulani alikuwa mmoja wa watu wachache maarufu zaidi ameaga dunia jijini Dar es Salaam katika Hospital...
Aloooooh! Bwana bwana nani kamuona mandonga akiwa ulingoni sio powa yani mwamba anangumi za maana, mtu kazi amemchapa mpinzani wake Mussa Omary kwa 'KO' kwenye round ya kwanza...
Aaaaweeeeeeh! I hope mko poa kabisa wanangu wa vyuoni. Kama kawaida yangu siwezi kuwatupa hata siku moja kwenye ile segment yetu pendwa ya kujuzana mambo mbali mbali yanayohus...
Mambo vipi kijana mwenzangu. Karibu kwenye makala ya kazi, ujuzi na maarifa na wiki hii tutafahamishana jinsi ya kupanda juu mahala pa kazi.
Je unapaswa ufuate mambo gani ili ...
Aiseee, kwenye haya maisha bwana kila mtu ana jambo ambalo linamchukiza na hatamani haswa, aidha kufanyiwa yeye binafsi au kuona mtu mwingine anafanyiwa katika jamii, sijui un...
Amkeni amkenii kumekucha wajameni, hakuna kulala mama kashasema, kazi iendelee. Sasa wewe endelea kuwa mama wa nyumbani kama ni vizuri, kama kawaida yetu safari hii tumekuja n...