Mmmmmmh! Kumekucha kumekucha ila tuache utani bwana kuna watu wanajiamini katika mahusiano yao, basi bwana huko mjini Instagram kuna ka gumzo kidogo baada ya mwanadada H...
Aloooooooh! Yaani week hii ni ya taarifa nzuri tuu, inasemekana mambo yamejibu huko bwana, kutoka kwa yule MC aliyesherehesha katika siku ya harusi ya taifa ya Nandy na Billin...
Aloooooh! Unaambiwa mambo yametaradadi sio powa yani, baada ya ukimya wa muda mrefu yule msanii mkongwe aliependwa na anaezidi kupendwa na kila mja Aslay amefunguka na k...
Jeshi la kujenga Taifa (JKT) August 25,2022 limetangaza nafasi kwa Vijana wote wa Tanzania Bara na Visiwani kujiunga na na mafunzo ya Jeshi hilo kwa kujitolea kwa mwaka 2022.
...
Wakati zoezi la Sensa ya watu na makazi likiendelea huko mkoani Tabora Karani wa sense ya watu na makazi aliyetambulika kwa majina Edimundi Zakayo amejinyonga.
Akithibit...
Moja kati ya taarifa kubwa iliyozua gumza kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusiana na Muigizaji Mkongwe wa Filamu Sylvester Stallone maarufu Rambo na mkewe wanadaiwa kuac...
Duuuuuh! Sio powa yani hatari juu ya hatari kuna jambo limezua taharuki kutoka katika Chuo kikuu kikuu binafsi katika jiji la mashariki mwa India la Kolkata cha St Xavier kime...
Jamani jamani mkiambiwa pombe sio chai muelewe basi bwana katika mitandao ya kijamii ya amerika kusini baada ya kijana mmoja kueleza kuwa alizikwa akiwa hai baada ya kulewa po...
Na Habiba Mohammed
Niajeeee niajeeeeee! Kama kawa kama dawa yaani tunahakikisha kila chochoro tunakuletea stori za motooooo. Ebwaaaaana eeenh kwenye mitandao yote ya kijamii l...
Na Habiba Mohamed
Ebwaaana!Sio mchezoo kabisa wengine husema mapenzi mithili ya kamari ,mapenzi shuburii Ila kwa mmakonde Harmonize bhana mapenzi kwake imekuwa asalii am...
Oyeeeeeaaah! Likitokea swala la jambo linajumuisha watanzania basi ni vyema wote tukaungana na jambo hilo, basi bwana lile semaji la mabingwa Haji Marana ametoa povu baada ya ...
Na Habiba Mohamed
Aiseeeeeee! Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni Huko Mkoa wa Dodoma Kijiji Cha Itololo machinjioni wilaya ya Kondoa, wakazi wa Kijiji hi...
Ebwanaaa! Weeee! Watu wanavimba tena wanavimba haswaa, basi bwana msanii wa bongo fleva nchini Tanzania anatamba sana kupitia mitandao ya kijamii kwa kuwa wa kwanza kupiga pic...