Tani 100 za mahindi ya ruzuku kukabili baa la njaa Singida

Tani 100 za mahindi ya ruzuku kukabili baa la njaa Singida

Mahindi hayo yanatarajiwa kuuzwa kwa bei ya Tsh. 830 kwa Kilo, kwa Wananchi katika Vijiji vya Wilaya ya Ikungi waliokumbwa na uhaba wa Chakula kutokana na kupata Mavuno kidogo

Inaelezwa Wakulima wengi walishindwa kuvuna kutokana na Mabadiliko ya tabia Nchi yaliyoathiri maeneo mengi Mkoani humo

Mkuu wa Wilaya wa Ikungi, Jerry Murro amesema, “Mahindi haya siyo ya kuuza, siyo ya kutengenezea Pombe za Kienyeji na siyo ya kulangua, Watendaji na Wenyeviti wasimamie kila Kijiji kipate.”

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags