17
Amshtaki mfanyakazi mwenzake kwa kumvunja mbavu wakati anamkumbatia
Upendo ni kitu cha bure na kuna aina mbalimbali za kuonesha upendo huo, mojawapo ni kitendo cha kukumbatiana.Katika nchi ya China,...
17
BREAKING NEWS: Erick afariki dunia
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Msanii wa Maigizo ambae ni mchekeshaji Erick Kisauti 'Ndo hivyo hivyo' amefariki Dunia, Taarifa za kifo chake kimethibitishwa na Muigiz...
17
Ajichoma sindano ya damu ya boyfriend mwenye ukimwi kukomoa wazazi
Wahenga husema mapenzi ni upofu na hili limethibitishwa na binti wa miaka 15 huko nchini India ambaye alichukua maamuzi wa kujichoma damu ya mpenzi wake mwenye virusi vya ukim...
17
Nandy: Mimba sio ugonjwa
Aloooooooweee! Aloooootenaaa! Bwana bwana unaambiwa uko mimba sio kitu cha kukufanya ushindwe kufanya mambo yako mengine mfano kazi na mengineyo, maneno hayo yamesemwa na mama...
17
Akata sehemu zake za siri baada ya kuota anachinja mbuzi
  Duuuuuuu! Ndoto nyingine hizi  sio powa yani basi bwana Mwanaume mmoja raia wa nchini Nigeria mwenye umri wa miaka 42 anapambania kuokoa maisha yake baada ya kuzik...
16
Rais wa TFF Wallace Karia: mimi sio mwanachama wa simba
Haya haya kwa wale mnaosema Rais wa TFF Wallace Karia kuwa ni mwanachama wa Simba bwana mwenyewe kakanusha leo kaweka wazi kuwa yeye sio shabiki wa timu hiyo. Aidha Rais huyo ...
16
Ajali yaua 8 Mbeya
Watu nane wamefariki dunia na wengine wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea leo Agosti 16,2022 katika eneo ya Shamwengo, Inyala mkoani Mbeya. Kamanda wa Polisi mkoani ...
16
Tabia ya kuzoeana inavyoweza kuharibu mahusiano na ndoa yako
Helooow! Natumai ni wazima wa afya sasa bwana leo kwenye mahusiano nimekuja kukomesha kile kitendo ama kauli ya kuwa mmezoeana bila ya kujua itaawathiri vipi nyie wote kwa pam...
16
Ahmed Ally:Tunapitia maumivu makali
Ebwana baada kupita mchezo wa ngao ya jamii kati Simba Sc dhidi ya Yanga Sc ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 Msemaji wa klabu ya Simba ameamua kuvunja ukimya. Kup...
16
Nape Nnauye kuzindua Internet Mlima Kilimanjaro
Waziri wa Habari, Mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye leo anatarajiwa kuzindua huduma za mawasiliano ya Internet zitakazokuwa zikipatikana juu ya Mlima Kilimanjaro...
16
Babu Tale: WCB tunasaini wasanii wawili hivi karibuni
Oooohooooo! Bwana chibude anawaambia mkae mkao wa kula mana anaingiza kontena jipya hivi karibuni  sasa hilo kontena jipya litakuwa na ushahidi ili kuepuka maneno ya kuse...
15
Rais Samia: Askari wenye vitambi warudi mafunzoni kuviondoa
Mmmmmmh! Haya tukiambiwa tupunguze vitambi hatuskii sasa basi Rais Samia Suluhu Hassan amewataka askari wa uhamiaji ambao wana vitambi warudi chuoni kuviondoa na kuwa wakakama...
15
Pedi kutolewa bure, Scotland
Scotland itakuwa Nchi ya kwanza duniani kuanzisha sheria ya kulinda haki ya bidhaa za hedhi na kutolewa bure nchini humo ambapo leo jumatatu sheria ya bidhaa za kipindi itakap...
15
Zimbabwe Surua bado ni kichomi yaua watoto 80
Mlipuko wa ugonjwa wa Surua nchini Zimbabwe umesababisha vifo vya watoto 80 tangu mwezi Aprili na mamlaka za nchi hiyo zimesema maradhi hayo yamesambaa kote nchini humo. Taari...

Latest Post