Rapa anayeunda kikundi cha Migos TAKEOFF auwawa kwa risasi

Rapa anayeunda kikundi cha Migos TAKEOFF auwawa kwa risasi

Rapa anayeunda kikundi cha MIGOS, Kirshnik Ball maarufu kama Takeoff (28) ameuwawa nchini Marekani baada ya kupigwa risasi pamoja na rapa mwenzake Quavo.

Takeoff ambaye ni binamu wa Offset na Mpwa wa Quavo alipigwa risasi akiwa mji wa Houston alipokuwa anacheza game na uncle wake, Quavo kabla ya kutokea ugomvi uliyosababisha mtu ambaye jina lake kwasasa halijafahamika kumpiga risasi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags