Kupitia ripoti ya Januari-Oktoba 2022, matukio 11 ya ukatili kwa Wanahabari yalirekodiwa nchini
Kwa Mujibu wa Ripoti ya Baraza la Habari Tanzania Matukio ya Ukatili kwa Wanahabari yaliyorekodiwa ni Vyombo vya Habari Kufungiwa, Wanahabari Kunyanyaswa, Kukamatwa, Kunyimwa Taarifa na Kutishiwa
Hata hivyo, Matukio ya namna hiyo yamekuwa yakipungua Miaka ya hivi karibuni, ambapo kipindi kama hiki Mwaka Jana kulikuwa na Matukio ya Ukatili 14
Kwa Mujibu wa Kanzidata ya Baraza la Habari Nchini, Mwaka 2020 kulikuwa na Matukio ya Ukiukwaji wa Haki za Waandishi 43 huku Mwaka 2021 yakiwa 25.
Leave a Reply