Kanye West: Sitaongea na mtu kwa siku 30

Kanye West: Sitaongea na mtu kwa siku 30

Ooooooh! Ni ijumaa nyingine tena mwanangu sana halafu naona kama inataka kuja kwa kasi hivi maana mambo yanazidi kuwa mengi katika hii dunia kila kukicha linazuka jipya, kama tunavyojua week hii ilikuwa ndefu sana kutokana na matukio baadhi yaliogusa mioyo ya wengi. Sasa kuna hilii la mwamba alietajwa kufilisika katika siku za hivi karibuni Kanye West.

Basi bwana hii nayo itakuwa kubwa kuliko kutoka kwa Rapa maarufu kutoka  nchini Marekani, Kanye West, Kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika kuwa atatumia siku 30 kufunga mambo mbalimbali kama, hatoongea na mtu yeyote, kutokunywa pombe, hatoangalia Filamu za watu wazima.


Mmmmmmmmh! Wanangu sana embu dondosha komenti yako hapo chini na utuambie je unadhani Kanye West atatoboa kwenye haya mambo ndani ya siku 30 alizo zisema?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags