Gerard Pique atangaza kustaafu  Soka

Gerard Pique atangaza kustaafu Soka

Beki huyo wa kati wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Hispania amesema anatarajiwa kucheza Mechi yake ya mwisho dhidi ya Almeria, Novemba 5, 2022 kwenye Uwanja wa Nou Camp.

Hata hivyo uamuzi huo wa ghafla ameutoa Miezi mitano tangu avunje uhusiano na Shakira aliyekuwa Mpenzi wake kwa muda mrefu na Mama wa Watoto wake wawili.

Ebwana eeeeh!!! Hii sasa mbona kama ni stress flani hivi au unasemaje mdau? Dondosha comment yako hapo chini tuzungumzie hili la Gerard






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags