Waliofariki kwa kipindupindu wafika 183

Waliofariki kwa kipindupindu wafika 183

Kutoka nchini Malawi ambapo  idadi hiyo imeongezeka kutoka 110 ilivyokuwa hapo awali mwanzoni mwa Oktoba 2022 huku maambukizi yakiendelea kuongezeka kwa kasi.

Aidha Takwimu za Wizara ya Afya zimeeleza kuwa tangu kulipuka kwa ugonjwa huo Machi 2022 jumla ya walioambukukizwa ni 6,056

Hata hivyo Vifo hivyo vinahusishwa na hali duni ya usafi wa chakula miongoni mwa jamii, ukosefu wa maji salama na ukosefu na matumizi mabaya ya vyoo.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags