Miili ya watoto yaongoza kutelekezwa vyumba vya kuhifadhi maiti, Kenya

Miili ya watoto yaongoza kutelekezwa vyumba vya kuhifadhi maiti, Kenya

Moja ya taarifa za kusikitisha ni  kuhusiana na  Miili 233 inayotarajiwa kuzikwa katika kaburi moja Ndani ya Wiki 3 zijazo, kwa kukosa Ndugu, 217 ni ya Watoto na 16 ikiwa ni ya Watu wazima

Miili hiyo imewekwa katika Chumba cha kuhifadhi Maiti cha Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH) jijini Nairobi kwa muda wa Miezi Minne.

Mtendaji Mkuu wa KNH, Evanson Kamuri, amesema Watoto ndio kundi linaloongoza Kwa kutelekezwa Mochwari, wengi wakidaiwa kufia Hospitali na kukosa Ndugu wa kudai Miili hiyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags