Kuna zile nyakati ambapo tunasikia au kuona kifo cha mwanandoa mmoja dhidi ya mwingine. Lakini bila shaka hivi siyo vifo vingi ukilinganisha na vile vinavyotokea bila sisi kuj...
Haya haya, wale watu wangu wa fashion kujeni hapa, nina kikao na nyie. Leo nitazungumza na wadada na warembo wote ambao wanapenda kujiremba na kuwa na mwonekano mzuri.
Kujirem...
Aloooooooh! Basi bwana baada ya kimya cha muda mrefu kilichomfanya Bondia wa Tanzania ambaye kwa sasa anaishi Marekani, Hassan Mwakinyo kupoteza baadhi ya mikanda, bondi...
Najua watu wengi mmeiweka hii katika bucketlist yenu. Ingawa kupanda milima sio kazi rahisi, huu mlima uliopo hapoahapa nchini kwetu ni mlima wa pili kwa urefu duniani.
Mt. Ki...
Hii bwana imetokea huko nchini India ambapo Wafungwa 11 waliokuwa wamehukumiwa Kifungo cha Maisha kwa Ubakaji na mauaji nchini humo kumezusha maandamano huku Mwathiriwa wa Uba...
Wananchi wa Ludewa mkoani Njombe wameiomba Serikali kuwajengea vilabu kwa ajili ya pombe za kienyeji kutokana na maeneo yao kukosa huduma hiyo huku Serikali ikipoteza mapato a...
Uwiiiiiiiih! Kutoka kwa yule chawa wa kimataifa Babalevo leo bwana amethibitisha kuwa Ametuma Maombi ya Usemaji kwenye Klabu ya yanga Ikumbukwe Siku chache zilizopi...
kutoka Kibaha kwa Mathis, hapa ndipo mahali ambapo upo msiba wa Mchekeshaji Sobogani Zabron maarufu Kama Erick Kisauti ambaye amefariki Alfajiri ya August 17 na kutarajiwa kuz...
Moja kati ya taarifa tuliyonayo ni hii hapa kutoka huko nchini China ambapo Watu 16 wamefariki Dunia na wengine 36 hawajulikani walipo kutokana na mafuriko yaliyotokea katika...
Serikali ya Uingereza imeahidi kuanza mchakato wakulipa fidia kwa waathirika wa ukimwi ambao waliambukizwa kimakosa
Aidha Waathirika hao zaidi ya 4,000 watalipwa fidia ya Tsh....
Hahahahah! Make hapa kwanza ncheke hii ingekuwa katika serikali yetu ninavyo wajua watu wangelala bar, moja ya taarifa zilizozua taharuki ni nchi ya japan inahamasisha vijana ...
Aloooooh! Sio powa yani wanasimba wameamka tena yani hadi mzee wa mlete mzungu bwana anatamba yeye tu uko katika mitandao ya kijamii kwa kusema kuwa simba ndo kwanza wameanza ...
Ukisia ule msemo wa hayawi hayawi sasa yamekuwa unajua mambo tayari na hivyo ndivyo unavyoweza kusema ambapo Baba watoto wa muigizaji wa bongo fleva Jacqueline Wolper am...