Serikali kugharamia mazishi ya miili 19 ya ajali ya Ndege

Serikali kugharamia mazishi ya miili 19 ya ajali ya Ndege

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hayo wakati wa kuaga miili 19 ya Watu waliofariki katika ajali ya Ndege ya Precision Air iliyotokea katika Ziwa Victoria, Mkoani  Kagera.

Aidha  ameagiza Wakuu wa Mikoa husika ambapo miili hiyo itapelekwa wasimamie zoezi hilo kikamilifu.

Pia, amesema Kamati za Maafa katika Ngazi ya Mkoa na Halmashauri zilizopo kwa mujibu wa Sheria zitaimarishwa ili ziwezi kuchukua hatua pindi maafa yanapotokea maeneo yao.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags