Ni siku nyingine tena madhila yakiwa yanaendelea kumuandama nguli wa muziki wa Hip-Hop duniani Sean ‘ Diddy’ Combs, ambapo upande wa mashtaka jana Septemba 19 umef...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Kayumba Juma ameweka wazi juu ya mwendelezo wa sakata lake alilodai awali kudhulumiwa Sh 7 milioni na Director Elly Mzava, ambaye anafanya kazi na R...
Serikali imeweka wazi kuwa inampango wa kukuza ajira kwa vijana katika sekta ya michezo, sanaa na burudani.
Hayo yamesemwa leo Alhamisi Juni 13, 2024 na Waziri wa Fedha, Dk Mw...
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, viwanja vitakavyotumika kwa michuano hiyo vitafungwa teknolojia inayomsaidia mwamuzi kufanya m...
Na Michael AndersonNiccolò Machiavelli , katika kitabu chake maarufu ‘The Prince’, aliandika kama kiongozi hawezi kuogopwa na kupendwa kwa wakati mmoja, ni ...
Serikali ipo mbioni kufanya mageuzi katika Sekta ya Utamaduni na Sanaa ili ijiendeshe kibiashara, izalishe ajira kwa wingi, iwe chanzo cha mapato ya fedha za kigeni pamoja na ...
Baada ya nyaraka za kesi zilizofunguliwa na mtayarishaji Rodney Jones dhidi ya Diddy zikidai kuwa Party zinazofanyika nyumbani kwa Combs zimekuwa zikijikita katika biashara ya...
Huduma za Internet nchini Pakistan zimezuiwa kwa muda kuhofia ugaidi wakati wa zoezi la uchaguzi linaloendelea leo nchini humo kufuatiwa na upinzani mkubwa wa vyama viwili vya...
Serikali Korea Kusini imeonya na kuzuia matumizi ya vifaa vya kutolea mabaki ya chakula kwenye meno ‘toothpicks’ kutokana na baadhi ya watu kuvikaanga na kuvila.Se...
Nyota wa zamani wa R&B R.Kelly, ambaye anatumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono, ameishitaki serikali nchini Marekani kwa kosa la kuvujish...
Serikali ya Tanzania inamuandaa msanii wa filamu kutoka nchini India, Sanjay Dutt kuwa balozi wa heshima kutokana na mapenzi yake kwa nchi na kuwa na wafuasi wengi watakaoona ...
Nchi nyingi zimekuwa na sifa mbalimbalia ambazo hutumika kama kielelezo chake, ukitaka kufahamu historia ya Ethiopia lazima ugusiwe kutotawaliwa kwake, na kuhusu Saudi A...
Rais wa zamani nchini Zambia Edgar Lungu, amelaani hatua ya serikali ya nchi hiyo, kuchukua mali mbalimbali zinazohusishwa na familia yake, na kusema kuwa kitendo hicho kimech...