Waliofariki ajali ya Ndege kuagwa uwanja wa Kaitaba

Waliofariki ajali ya Ndege kuagwa uwanja wa Kaitaba

Taarifa kutoka Kagera ambapo Miili ya Watu 19 waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air inatarajiwa kuagwa leo Novemba 7, 2022 kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba

Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amesema utaratibu wa zoezi la kuaga unatarajiwa kukuanza Saa 4 asubuhi ukiongozwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags