Kampuni ya Twitter  kupunguza wafanyakazi wake

Kampuni ya Twitter kupunguza wafanyakazi wake

Kupitia Barua Pepe zilizotumwa leo Novemba 3, 2022 kwa Wafanyakazi 7500 inaeleza nusu yao watajulishwa kuhusu mustakabali wa ajira zao, kama wataweza kuendelea na kufanya kazi katika kampuni hiyo au laah.

Hatua hiyo inakuja siku chake tangu Tajiri wa Dunia Elon Musk kukamilisha ununuzi wa Kampuni hiyo kwa Tsh. Trilioni 102 ambapo alitangaza kufanya mabadiliko ya uendeshaji ikiwemo kupunguza Wafanyakazi

Wafanyakazi wengi wanasema ni heri waondoke Kazini na wengine wana wasiwasi kuwa kutokubaliana na Musk kunaweza kuwapotezea Kazi na Mafao yao.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags