Waumini wakiislam waombea mvua, Dar

Waumini wakiislam waombea mvua, Dar

Waumini wa Dini ya kiislam Jijini Dar es Salaam mapema leo wamekutana katika viwanja vya Mnazimmoja kuomba mvua kwa mwenyezi Mungu pamoja kukomesha janga la ukame wakiongozwa na Sheikh Abdul Qadri.

Sheikh Abdul Qadri amewaomba watanzania kupunguza maasi kwa mwenyezi Mungu maana ndicho kichocheo kikubwa ca kupigwa na janga hili.

Aidha, amewaasa watanzania kumuombea Dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Serikali kwa ujumla katika mapambano yake na janga hili.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags