Chuo cha Kampala Uganda chasitisha kuwapima ujauzito wanafunzi wa kike

Chuo cha Kampala Uganda chasitisha kuwapima ujauzito wanafunzi wa kike

Tangazo la kuwataka wanafunzi wa kike wanaosoma katika Chuo kikuu cha kimataifa cha Kampala, Uganda kupima ujauzito la sivyo wazuiwe kufanya mtihani limeibua mjadala mkubwa katika mitandao ya kijamii.

Aidha tangazo hilo ambalo lilisambazwa sana mtandaoni na baadaye kufutwa, liliwataka wanafunzi wa kike wanaosoma masomo ya ukunga na uuguzi  kupima ujauzito, la sivyo watazuiwa kufanya mtihani.

Aloooooh! Mwanangu sana, embu dondosha komenti yako hapo chini, kibongo bongo je nini ungependwa kifutwe yaani kisiwe ni lazima kukitimiza vyuoni?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags