19
Fahamu Haya Kabla Hujaingia Chuo Kikuu
Na Michael ANDERSON Wasomi mambo vipi pande za vyuoni? tunakaribia kuanza paper la UE nafahamu tunazima moto kwa energy ya kutosha kuhakikisha SUP haitupati. Wiki hii nakulet...
01
Ulaji Tambi Mara Kwa Mara Unachochea Magonjwa Haya
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na ‘Chuo Kikuu cha Baylor’ umeeleza kuwa ulaji wa tambi mara kwa mara haswa mara mbili hadi tatu kwa wiki, umehusishwa na hatari ...
23
Usichague Kazi Baada Ya Chuo Ila Fanya Iliyo Halali
Na Michael ANDERSON Tanzania kuna tatizo la baadhi ya vijana kuchagua kazi. Tatizo hili ni kubwa hasa kwa vijana wakiume. Baadhi yao wanaogopa kufanya kazi fulani kama mama li...
14
Utafiti: Kufurahia Kahawa Asubuhi, Kunapunguza Magonjwa Ya Moyo
Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kutoka tovuti ya ‘European Heart Journal’ unaonesha kuwa kufurahia kikombe cha kahawa asubuhi kunaweza kupunguza hatari ya mago...
05
Punguza marafiki wabaki watu muhimu
Na Michael Anderson  Punguza marafiki ambao ukiwaambia unataka kufanya kitu wanakujibu "utawezaaa?" punguza marafiki ambao kutwa wanataka mchafue meza bar. Punguza marafi...
11
Chuo kikuu cha Yale chaanzisha somo kumsoma Beyonce
Na Masoud KofiiChuo Kikuu cha Yale kilichopo Marekani kimeanzisha mafunzo ya siasa na utamaduni huku kikitumia album za Beyonce kufundishia.Albamu hizo ni kama vile Into Lemon...
17
Diddy akalia kuti kavu, polisi wamdaka
Mkali wa Hip Hop kutoka Marekani Diddy ameripotiwa kukamatwa na polisi New York kufuatia tuhuma za kujihusisha na unyanyasaji wa ngono na biashara za madawa ya kulevya.Kwa muj...
14
Lady Gaga awaanika waliosema hatokuwa maarufu
Mwanamuziki na mwigizaji kutoka Marekani, Lady Gaga amelianika hadharani kundi la zamani la Facebook la chuo kikuu cha New York na kudai kuwa kundi hilo lilimwambia hatokuja k...
23
Utafiti: Mabishano ya utotoni yanafaida ukubwani
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Chuo Kikuu cha Cambridge umebaini kuwa ugomvi wa watoto waliofuatana unaweza kuwanufaisha hapo baadaye.Utafiti huo uligundua kwamba mabish...
06
Wanasayansi waunda Nzi kwa kutumia kinyesi cha Binadamu
Timu ya wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Macquarie cha Australia wameanza harakati kukabiliana na janga la taka duniani ambapo wameamua kuunda Nzi kwa kutumia kinyesi mwenye ...
02
Cheni ya akili bandia inayoweza kukupa kampani wakati wowote
Mwanafunzi aliyeacha masomo katika Chuo kikuu cha Harvard aitwaye Avi Schiffmann kwa mara ya kwanza amevumbua kifaa cha akili bandia (AI) kiitwacho ‘Friend’ kwa le...
01
Savanna: Familia yangu iligoma kunihudumia kisa mitandao
Na Aisha Charles Katika kutafuta njia ya kupambania ndoto zako ukiwa chini ya uangalizi wa wazazi hasa ukiwa unawategemea kwa kila kitu lazima kutakuwa na mashaka, mzazi au ml...
29
Japan kuzindua roboti anayecheka kama binadamu
Wanasayansi kutoka Japan wako mbioni kuzindua roboti lenye ngozi hai ambalo litakuwa na uwezo wa kucheka pamoja na kutabasamu kama binadamu.Ubunifu huo ulioongozwa na watafiti...
27
Jinsi ya kuongeza thamani yako ukiwa chuoni
Na Michael Onesha Mtu wa kwanza kutambua na kuamini kuwa wewe ni wa thamani kubwa ni wewe mwenyewe. Rule namba moja ukiwa kama kijana wakike au wa kiume unatakiwa kujiona wa t...

Latest Post