01
Savanna: Familia yangu iligoma kunihudumia kisa mitandao
Na Aisha Charles Katika kutafuta njia ya kupambania ndoto zako ukiwa chini ya uangalizi wa wazazi hasa ukiwa unawategemea kwa kila kitu lazima kutakuwa na mashaka, mzazi au ml...
27
Jinsi ya kuongeza thamani yako ukiwa chuoni
Na Michael Onesha Mtu wa kwanza kutambua na kuamini kuwa wewe ni wa thamani kubwa ni wewe mwenyewe. Rule namba moja ukiwa kama kijana wakike au wa kiume unatakiwa kujiona wa t...
03
Zijue chaguzi za serikali za wanafunzi vyuoni
Na Michael AndersonNiccolò Machiavelli , katika kitabu chake maarufu ‘The Prince’, aliandika kama kiongozi hawezi kuogopwa na kupendwa kwa wakati mmoja, ni ...
16
Mtoto ajiua kisa kutaniwa na wanafunzi wenzake
Mtoto wa miaka 10 kutoka Indiana aitwaye Sammy Teusch, amechukua uamuzi wa kujiua baada ya wanafunzi wenzake kumtania mara kwa mara kuhusu meno na miwani anayo vaa.Taarifa ya ...
18
Davido kama Drake
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria Davido ameamua kufuata nyayo za ‘rapa’ Drake baada ya kumlipia mwanafunzi mkopo wa shule. Mwanafunzi huyo alinyanyua bango ...
04
Wanafunzi wajiandae na maisha halisi baada ya kutoka vyuoni
Na Michael OneshaAloooh! niaje niaje, wanafunzi wenzangu, ni ndugu yenu tena nimerudi na kitu new, kama tunavyojua wiki hizi ni wiki ambayo wapo baadhi ya wanafunzi wamemaliza...
22
Kinda Mtanzania ana kwa ana na Arshavin
Kinda wa Tanzania, Harrith Chunga Misonge aliyepo Russia anakoshiriki mashindano ya Games of the Future amekutana na staa wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Russia, Andr...
23
Walimu waondoa vioo vya chooni, baada ya wanafunzi kujirekodi
Shule ya Southern Alamance iliyopo Carolina nchini Marekani, imelazimika kuondoa vioo vyote katika vyoo vya wanafunzi kwa lengo la kuwazuia ku-rekodi video za TikTok muda wa d...
22
Wanafunzi wa chuo msikariri maisha
Na Aisha Lungato Niaje niaje! wasomi, niliwakumbuka sana sasa leo nimerudi tena ndugu yenu nisiye na hiyana kuja kuwapa nondo ambayo itaweza kuwasaidia huko mbeleni mnakoeleke...
03
Unafahamu kazi ya kitanzi kilichopo nyuma ya shati
Wakati wa kununua nguo watu wengi hutazama ubora na rangi, wachache huchunguza kila kona ya nguo na kujua umuhimu wake. Kama nimfuatiliaji basi utakuwa umewahi kuona kishikizo...
07
Ahukumiwa kwa unyanyasaji wa kingono kwa wanafunzi
Mwalimu katika shule ‘kibaptisti’ nchini #Marekani anayetambulika kwa jina la Anne Nelson-Koch, amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela kwa kosa la unyanyasaji wa ki...
06
Jukumu la vyuo kuwasaidia wanafunzi kupambana na matatizo ya afya ya akili
Na Magreth Bavuma Ouyah eeh! mambo niaje, hopefully wote tuko poa kabisa karibu tena kwenye corner yetu pendwa ya wanavyuo  u...
19
Aliyeua mwanafunzi ahukumiwa baada ya kukiri kosa
Ikiwa imepita miaka 18 tangu kifo cha mwanafunzi Natalee Ann Holloway kutokea, hatimaye Joran van der Sloot amekiri kuhusika na mauaji hayo mbele ya mahakama nchini Marekani. ...
09
Kuanzia leo, Mwiko wanafunzi kutumia simu shuleni australia
Simu zapigwa marufuku kwa wanafunzi katika shule za serikali nchini Australia wakati wa saa za shule au wakiwa darasani. Hiyo ni kutokana na kuepusha usumbufu darasani wakati ...

Latest Post